Qiraa ya Qur'ani Tukufu
BAKU (IQNA) – Klipu ya usomaji mzuri wa Qur'ani Tukufu wa kijana wa Jamhuri ya Azerbaijan Qari Muhammad Dabirov imependwa na mamilioni ya watazamaji kwenye mitandao ya kijamii.
Habari ID: 3477394 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/07